- KUNYWA MAJI MENGI YA VUGUVUGU KWA KADRI UWEZAVYO. kwa siku inashauriwa kunywa kiasi cha maji kisichopungua birauli nane kitaalam.
- TUMIA MVUKE WA MAJI YA MOTO. elekeza uso wako kwenye sehem inayo toa mvuke kwa muda kama wa dk mbili hivi halafu jaribu tena kufanya hivyohuku ukiruhusu mvuke kuingia kwenye matundu ya hewa.
- FANYA ZOEZI LA PUMZI. kwa kukimbia kidogo kila mara. Muda mzuri wa kufanya zoezi ni asubuhi sana kabla watu na vyombo vya usafiri havijaanza kutembea. Kwani kwa kuchelewa zaidi ya hapo utavuta na hewa yenye TOXIN SUBSTANCE (hewa taka)
- EPUKA KUPAYUKAPAYUKA OVYO WAKATI UNAPOELEKEA KUIMBA. kwani kwa kufanya hivyo utaikausha sauti yako.
niwatakie jumapili njema.
TEMBELEA PIA KWENYE BLOG YETU YA Ev. Mhugo Hantish the sound of worship
KUPITIA www.hantishmhugo.blogspot.com
WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA ZETU ZA 0768788303
AU EMAIL YA hantishmhugo@gmail.com
Mungu akubariki sana
Mrs Ev. Mhugo Hantish |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni