Hallelujah mtu wa Mungu popote pale ulipo.
Leo nimekuletea ile video mpya uliyokua ukiisubiria ya wimbo uitwao YESU WEWE ambao naamini utakua na Baraka sana maishani mwako. Ikiwa unahitaji kusogeza mguu wako mbele za Mungu katika Roho na kweli basi ungana nami katika KUUTAZAMA wimbo huu. Mungu akubariki sana.
Bofya hapa
https://youtu.be/KvJne0B0MaY ili kuupata wimbo huo.

Gospel
Music in spirit. The Worship in Spirit (WS) label imekuletea video mpya
ya wimbo uitwao YESU WEWE ulioimbwa na mwimbaji wa nyimbo za injili
kutoka Tanzania.
WASHIRIKI
KWENYE WIMBO WA VIDEO HII NI:
1. EV
MHUGO HANTISH & MRS FARIDA HANTISH – MANAGING DIRECTORS
2. HINJU
ZE ONE – VIDEO PRODUCER & DIRECTOR
3. GM
ONE – BEST FM RADIO / BEST STUDIO MANAGER
4. MOSES
MLOWE – AUDIO COMPOSER
5. JOHNSON
FILIKUNJOMBE – AUDIO IDEA FOUNDER
OTHERS ARE:
1.
MCHG. WILLA
2.
WILLY MHAGAMA
3.
EDINA NG’WAVI
4.
GROLY MHEMA
5.
PILLI MWAGENI
6.
RIZIKI SANGA
7.
ISRAEL MWASYALINGA
8.
JACKLIN MALEKELA
9.
NOAH JOSEPHATH MWASANGA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni